Dalba Tanzania Company Limited
Maelezo Muhimu Kuhusu Ajira Hii
ShinePortal Group Company Limited si mwajiri wa moja kwa moja katika nafasi hii ya kazi iliyotangazwa kupitia mfumo wetu wa masoko ya ajira wa ShinePortal Jobs.
Fursa hii ya ajira imetangazwa na Dalba Tanzania company Limited, ambayo ndiyo mwajiri wa moja kwa moja wa nafasi hii.
Hivyo, sisi kama ShinePortal Group Company Limited, kupitia mfumo wetu wa ShinePortal Jobs, tunakusaidia tu kuwasiliana na kampuni ya Dalba Tanzania Company Limited ili kuhakikisha maombi yako yanafika kwa mwajiri ipasavyo.
Kumbuka kuwa,
- ShinePortal Group Company Limited kupitia mfumo wake wa ShinePortal Jobs haina ushawishi wowote juu ya mchakato wa uteuzi wa waombaji.
- Uteuzi na mchakato wa ajira unafanywa moja kwa moja na Dalba Tanzania Company Limited.
- Ada ya huduma inaweza kuhitajika kulingana na nafasi unayoomba.
- Na maelezo ya ada yatatolewa moja kwa moja na Dalba Tanzania Company Limited.
ShinePortal Jobs – Tunakuletea fursa bora za ajira kwa kushirikiana na makampuni yanayoaminika ikiwemo kampuni hii ya Dalba Tanzania Company Limited!
Jinsi Ya Kutuma Maombi Yako
Tafadhali tuma,
- CV
- Certificates
- Leseni
- Email yako
- Namba yako ya simu
- Na copy ya Passport yako
Au waweza fika katika ofisi za Dalba Tanzania Company Limited ukiwa na Passport yako kwa ajili ya kufanya usahili na kuendelea na process yako ya safari hadi utakapo ondoka nchini.
Tunapatikana jengo la,
NSSF Mafao House
Ground Floor
Jirani Kabisa Na Soko La Ilala
P.O.Box 12101
Dar Es Salaam, Tanzania
Kuanzia siku za,
Jumatatu - Jumamosi
Saa 2:000 asubuhi hadi Saa 12:00 Jioni
Au wasiliana nasi kwa njia ya kutupigia Simu au WhatsApp kwa namba za simu za ofisi zifuatazo:
Line 1
0744430010
Line 2
0765070010