Mpendwa Mteja Wetu Wa Thamani
Tunapenda kukujulisha kuwa mfumo wetu wa mikopo umeboreshwa na sasa unaweza kuchukua mkopo wa hadi TZS 150,000 kwa machanganuo ufuatayo:
MKOPO
TZS 150,000
RIBA
10%
MAREJESHO
TZS 165,000
ADMINISTRATIVE
TZS 4,000
Kwa kuzingatia umuhimu wa uwazi na kulinda maslahi ya wateja wetu wote, tunakujulisha kuwa mfumo wetu wa mikopo umeboreshwa kutokana na changamoto kubwa iliyojitokeza ya:-
- Baadhi ya wateja wasio waaminifu kutokufanya kabisa marejesho ya mikopo yao na
- Baadhi ya wateja wanaorejesha kutorejesha mikopo yao kwa wakati
Hivyo tumeona ni muhimu kufanya maboresho katika mfumo wetu wa utoaji mikopo ili kulinda maslahi ya wateja wetu wote na kuendeleza uendelevu wa huduma zetu.
Mikopo yetu bado haina haja ya dhamana ya mali (mfano: nyumba, shamba, gari au hati ya ardhi). Badala yake, dhamana ni akaunti yako ya akiba (mchezo) ambayo utaifungua ndani ya mfumo.
Akiba hiyo inabaki kuwa yako, na unaweza kuendelea kuitumia kwa mikopo ijayo au kuichukua baada ya kukamilisha marejesho kwa mujibu wa,
Msharti haya muhimu:-
- Mkopo unapatikana kwa wateja walio na akaunti ya akiba (mchezo).
- Akiba hii inabaki kuwa mali yako na inaweza kutumika kama dhamana kwa mikopo ya baadaye.
- Marejesho ya mkopo lazima yafanyike kwa wakati uliokubaliwa ili kuepuka riba ya ziada au changamoto za kisheria.
- Mikopo inatolewa kwa mujibu wa masharti ya kisheria na sera zetu za ndani.
- Tarehe za kulipa na masharti mengine ya mkopo yatakuwa yameelezwa wazi kwenye akaunti yako.
Jinsi ya kupata mkopo
- Ingia kwenye akaunti yako ya mkopo
- Lipia gharama za mkopo (administrative fee) TZS 4,000
- Chagua mchezo wa akiba unaoutaka na ulipie ada ya kijumbe
- Anza kuweka akiba (cheza mchezo)
- Pokea mkopo, baada ya hapo mkopo wako utatolewa mara moja
Kumbuka
Kadri unavyoendelea kuweka akiba (cheza mchezo), ndivyo kiwango chako cha kukopa kinavyoongezeka.
Maboresho haya yamelenga kuhakikisha kuwa kila mkopaji anajenga tabia ya kujiwekea akiba, huku tukilinda uendelevu na upatikanaji wa mikopo kwa wateja wengi zaidi.
Tunatambua kuwa mabadiliko haya yanaweza kuhitaji muda wa kueleweka kwa wateja wetu, hivyo timu yetu ipo tayari kutoa maelezo ya kina na msaada wa moja kwa moja katika hatua zote za mchakato.
Tunaomba wateja wetu wote waendelee kuwa na imani na huduma zetu kwani maboresho haya yamekusudiwa kuimarisha upatikanaji wa mikopo kwa uwazi, usalama, na uendelevu wa muda mrefu.
Tunaahidi kuendelea kutoa huduma kwa uwazi, salama, na endelevu. Endelea kutumia mfumo wetu kwa kuzingatia masharti yaliyowekwa.
Imetolewa na,
Idara ya Mikopo na Akiba
Kwa niaba ya Menejimenti,
ShinePortal Group
P.O.BOX 41217
Nzuguni A - Nane Nane
Dodoma, Tanzania
Call: 0765699269
WhatsApp: 0765699269
Email: info@shineportal.co.tz
Website: www.shineportal.co.tz