Customer Registration Agent (30)
- Dead Line: 2025-04-30
FURSA YA KAZI
WAKALA WA KUSAJILI WATEJA MTANDAONI
Kampuni
ShinePortal Group Company Limited
Eneo La Kazi
Tanzania
Nafasi
30
Kuhusu Kampuni
ShinePortal ni kampuni inayojitahidi kuwa chachu ya maendeleo kwa vijana waliohitimu kutoka sekondari, vyuo vya kati, ufundi na vyuo vikuu. Tunawawezesha vijana hawa kufanikisha malengo yao kwa:-
- Kuwapatia fursa za ajira zinazowiana na taaluma zao.
- Kutoa elimu ya biashara kwa ajili ya kuwaandaa na kuwapa maarifa ya kusimamia biashara zao kwa mafanikio.
- Kuwezesha upatikanaji wa mitaji ya kuanzisha na kukuza biashara zao, ili kuwasaidia kujenga mustakabali imara.
Sisi ni kampuni ya kidijitali.
Hii inamaanisha unaweza kufanya kazi yako popote pale unapohisi unaweza kufanya kazi zako kwa ufanisi zaidi – kwahiyo tunakuajiri mahali popote ulipo hata ukiwa nyumbani kwako!
Built around a mission, not a headquarters. Office centricity is over.
Tunalenga zaidi kutimiza malengo yetu badala ya kuwa na ofisi kuu. Tunaamini kuwa wakati wa kutegemea ofisi moja kwa kila kitu umepita.
Hata hivyo, mara chache kwa mwezi tunajikusanya ana kwa ana kama timu ili kushirikiana, kutatua changamoto ngumu, na kupanga mikakati. Njia hii ya kazi tunaiita Digital by Design (DxD) – mfumo unaochanganya urahisi wa kidijitali na nguvu ya ushirikiano wa timu.
Tunajivunia kuwa mshirika wa maendeleo kwa vijana wanaotaka kufikia upeo mpya wa maisha na mafanikio. ShinePortal ni daraja lako la mafanikio!
Kuhusu Kazi
Kwa sasa ShinePortal tunapanua wigo wa huduma zetu katika mikoa mbalimbali hapa nchini Tanzania - Bara na Visiwani.
Hivyo, tunatafuta Mawakala wa kusajili wateja mtandaoni wenye bidii na ufanisi ili kujiunga na timu yetu ya mawakala wa ShinePortal Group inayokua kwa kasi hapa nchini Tanzania kwa mwaka wa mauzo 2025.
Kama Sehemu Ya Timu Yetu Ya Mawakala Utafurahia:-
- Mshahara wa ushindani, TZS 70,000 kwa wiki na TZS 500,000 kwa mwezi
- Malipo ya commission ya 50% kwa kila huduma utakayotoa nje ya mshahara wako
- Kipato cha ziada cha TZS 12,500 hadi TZS 25,000 kwa siku kulingana na utendaji wako wa kazi
Kazi Yako
- Kuwasajili wateja wapya katika mfumo rasmi wa ShinePortal.
- Kutoa maelezo ya kina kuhusu huduma zetu na kuwaelekeza wateja jinsi ya kutumia huduma hizo.
- Kufanya ufuatiliaji wa wateja waliopo na kuhakikisha wanapata huduma bora.
- Kuandaa ripoti za usajili na kutoa mrejesho wa maendeleo kwa uongozi.
- Kuhamasisha na kuelimisha wateja kuhusu fursa zinazopatikana ShinePortal kama vile fursa za ajira, elimu ya biashara, mikopo, mitaji pamoja na michezo ya kuinuana kiuchumi.
Tunachohitaji Kutoka Kwako
- Uwezo mzuri wa mawasiliano na kushawishi wateja.
- Ujuzi wa kutumia kompyuta na simu janja (smart phone) kwa usajili wa mtandaoni.
- Uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea na kuzingatia malengo.
- Elimu ya kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea.
- Umri wa kuanzia miaka 18 - 35
- Jinsia zote zinakaribishwa
- Uzoefu wa huduma kwa wateja utapewa kipaumbele, lakini sio lazima.
Mshahara
Kiwango cha mshahara ni TZS 500,000 kwa mwezi pamoja na malipo ya TZS 70,000 kila wiki!
Maombi yote ya nafasi hii ya kazi yanatumwa kupitia mfumo wetu rasmi wa ajira wa ShinePortal Jobs.
Ili kuendelea na hatua hii, unahitajika kulipia ada ya usajili wa maombi ya kazi, ambayo ni TZS 1,000.
Ada hii ni sehemu ya mfumo wa kushughulikia maombi yako ipasavyo na kuhakikisha yanafikia waajiri kwa wakati, hivyo kuongeza nafasi yako ya kupatikana kwa kazi.
- Maombi yote yanashughulikiwa kupitia mfumo wetu pekee.
- Nafasi ni chache, na waombaji wanaochukua hatua haraka wanapewa kipaumbele.
- Usikose fursa hii – kamilisha usajili wako sasa!