Store Keeper
- Dead Line: 2026-04-30
Nafasi
Store Keeper
Idadi
3
Kampuni
ShinePortal Group
Location
P.O.Box 12116
Tabata Kinyerezi, Ilala
Dar Es Salaam, Tanzania
Sifa Za Mwombaji
- Awe na elimu ya kuanzia Kidato cha Nne au zaidi
-
Awe na ujuzi wa kutunza kumbukumbu za bidhaa
-
Awe makini na mwenye kuwajibika
-
Awe tayari kufanya kazi kwa mpangilio
-
Uzoefu wa kazi ya ghala utapewa kipaumbele
Majukumu Ya Kazi
- Kupokea na kuhifadhi bidhaa stoo
-
Kuweka kumbukumbu sahihi za bidhaa zinazoingia na kutoka
-
Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa bidhaa
-
Kuripoti upungufu au uharibifu wa bidhaa
-
Kuhakikisha stoo iko katika hali safi na salama
Mshahara Na Motisha
- Mshahara wa msingi ni TZS 350,000 kwa mwezi
- Mshahara huu unajumuisha bonasi na/au posho kwa kuzingatia uzoefu na ujuzi wa mwombaji pamoja na kiwango cha matokeo ya kazi kama itakavyoainishwa kwenye mkataba rasmi wa ajira
Jinsi Ya Kutuma Maombi
Kwa utaratibu wa kupokea maombi ya kazi, maombi yote hutumwa kupitia akaunti ya mwombaji. Ili kuendelea, utabofya kitufe cha CONTINUE hapo chini na
Kwa utaratibu wa kupokea maombi ya kazi, maombi yote hutumwa kupitia akaunti ya mwombaji. Ili kuendelea, utabofya kitufe cha CONTINUE hapo chini na
kisha:-
- Uta Login kwenye akaunti yako kama tayari una akaunti au
- Uta Create akaunti kama bado huna akaunti
Kumbuka,
- Nambari ya simu utakayotumia kufungua akaunti ndiyo itakayotumika kukutumia majibu ya maombi yako kwa SMS au simu, hivyo hakikisha unaweka nambari sahihi na inayopatikana.
- Tengeneza password utakayoikumbuka, kwani utaitumia kila unapologin kwenye akaunti yako.
- Hakikisha password yako ina character 8 au zaidi
Baada ya kulogin au kucreate akaunti, tafadhali rudi tena katika ukurasa huu na ubofye tena kitufe cha CONTINUE, ili uweze kujaza fomu ya maombi na kutuma ombi lako.