Wakala Wa Kusajili Wateja Mtandaoni (30)
- Dead Line: 2025-09-30
FURSA YA KAZI
Position
Customer Registration Agent (30)
Job Type
Remote Job: Part - Time or Full - Time
Working Hours
Flexible - You Set Your Own Schedule
Location
Tanzania
Coverage
Mainland Tanzania & Zanzibar
Salary
TZS 70,000 Per Week
Payment Mode
Weekly Payments Via Mobile Money or Bank Transfer
Kuhusu Kampuni
ShinePortal ni kampuni ya kifedha inayotoa mikopo midogo na ya kati kwa wateja binafsi na wajasiriamali wanaohitaji mtaji wa kuanzisha au kukuza biashara zao. Lengo letu kuu ni kuwezesha wananchi, hasa vijana, kufikia malengo yao ya kiuchumi kupitia huduma za kifedha zinazopatikana kwa urahisi, haraka na kwa njia ya kidijitali.
Tunajivunia kutoa huduma rafiki, salama na zenye miongozo inayolinda maslahi ya mteja huku tukijenga msingi wa uaminifu, uwazi na maendeleo endelevu.
Kuhusu Kazi
Kutokana na ongezeko la mahitaji ya huduma zetu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania, ShinePortal inaongeza idadi ya wafanyakazi ili:
- Kuhudumia wateja wengi zaidi kwa wakati
- Kupanua wigo wa huduma katika wilaya zote
- Kuwa na mawakala wa karibu wanaoweza kutoa msaada kwa mteja kwa haraka
- Kuhakikisha kila mteja anapata huduma bora na ya kitaalamu
Kwa kuajiri wafanyakazi wapya, tunalenga kuimarisha uzoefu wa mteja, kuongeza ufanisi wa kazi, na kuhakikisha huduma zetu zinafika kwa watu wengi zaidi.
Kama Sehemu Ya Timu Yetu
- Utafurahia mshahara wa ushindani, TZS 70,000 kwa wiki
- Posho ya hadi TZS 12,500 kwa siku kulingana na utendaji wako wa kazi
- Commission ya hadi 50% kwa kila huduma utakayotoa nje ya mshahara wako
Kazi Yako
- Kuwasajili wateja wapya katika mfumo rasmi wa ShinePortal.
- Kutoa maelezo ya kina kuhusu huduma zetu na kuwaelekeza wateja jinsi ya kutumia huduma hizo.
- Kufanya ufuatiliaji wa wateja waliopo na kuhakikisha wanapata huduma bora.
- Kuandaa ripoti za usajili na kutoa mrejesho wa maendeleo kwa uongozi.
- Kuhamasisha na kuelimisha wateja kuhusu fursa za ajira, michezo, mikopo, elimu ya biashara na mitaji zinazopatikana ShinePortal.
Tunachohitaji kutoka Kwako
- Uwezo mzuri wa mawasiliano na kushawishi wateja.
- Ujuzi wa kutumia kompyuta na simu janja kwa usajili wa mtandaoni.
- Uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea na kuzingatia malengo.
- Elimu ya kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea.
- Umri wa kuanzia miaka 18 - 35
- Jinsia zote zinakaribishwa
- Uzoefu wa huduma kwa wateja utapewa kipaumbele, lakini sio lazima.
Built around a mission, not a headquarters. Office centricity is over.
Sisi ni kampuni ya kisasa inayotumia teknolojia kufanikisha kazi. Hii ina maana kuwa unaweza kufanya kazi zako kutoka mahali popote unapojihisi kuwa na ufanisi – iwe ni nyumbani, sehemu ya utulivu, au hata ukiwa safarini. Hatuangalii mahali ulipo, bali matokeo yako.
Hatufungwi na majengo ya ofisi – bali tumejengwa juu ya dhamira, siyo majengo.
Tunaamini kuwa kazi si lazima ifanyike ofisini ili iwe bora. Ndiyo maana mfumo wetu wa kazi unaitwa Digital by Design (DxD) – mtindo wa kisasa unaochanganya urahisi wa kazi kwa njia ya kidijitali na ushirikiano wa kweli wa timu.
Ingawa kazi nyingi zinafanyika kwa njia ya mtandao, mara chache mwisho wa mwaka tunakutana ana kwa ana kama timu - kushirikishana mawazo, kutatua changamoto kwa pamoja, na kupanga mikakati ya mafanikio.
Ikiwa unathamini uhuru wa kupanga mazingira yako ya kazi, una nidhamu binafsi na unapenda kufanya kazi zenye maana – basi hii ni nafasi yako.
"Aliyetuma Kwanza, Ndiye Anayezingatiwa Kwanza" hivyo wale wanaotuma maombi mapema wana nafasi kubwa ya kuchaguliwa.
30
zitakapojazwa