Mchezo Wa TZS 5,000 Kupokea TZS 450,000

ShinePortal Microfinance inakuletea mchezo wa kuinuana kiuchumi wa kutoa TZS 5,000 kila siku na kupokea TZS 450,000. Mchezo huu wa kuinuana kiuchumi ni mfumo rahisi na wa kuaminika wa kusaidiana kifedha kwa njia ya mzunguko wa kila siku.
Huu ni mpango wa mshikamano unaoimarisha ushirikiano wa kifedha kati ya washiriki, ambapo kila mtu anachangia kiasi kidogo kila siku na baadaye hupokea malipo makubwa kulingana na utaratibu uliopangwa.
Faida za Kushiriki Mchezo Huu
- Uwezo wa kupata mkopo wa fedha wa hadi TZS 450,000 kupitia mchezo huu ambao utatumika kama dhamana
- Unakusaidia kuweka akiba kwa njia ya mshikamano.
- Unapata pesa zako kwa wakati na bila usumbufu.
- Unajenga mtandao wa kifedha na watu waaminifu.
- Mfumo ni rahisi na hauna masharti magumu.
Jinsi Mchecho Unavyofanya Kazi
- Kila mshiriki anachangia kiasi cha TZS 5,000 kila siku.
- Washiriki hupokezana kupokea malipo ya TZS 450,000 kulingana na mpangilio wa mzunguko.
- Malipo yanafanyika kwa uwazi na haki kwa kila mshiriki.
- Mfumo huu unakuza nidhamu ya kifedha na kusaidia kushughulikia mahitaji ya haraka.
Usalama Wa Fedha Zako
Katika Mchezo wa Kuinuana Kiuchumi, usalama wa fedha za washiriki ni kipaumbele chetu. Tumetengeneza mfumo thabiti unaohakikisha kila mshiriki anapokea malipo yake bila kusumbuka, hata kama kutatokea changamoto kama mchezaji kujitoa, kuchelewa kuchangia, au hata kufariki dunia.
Jinsi Tunavyohakikisha Usalama Wa Malipo
- Mfumo Imara - Mchezo huu unasimamiwa na ShinePortal Microfinance kwa uwazi na uangalizi wa hali ya juu.
- Nafasi Zinazokamilishwa - Ikiwa mshiriki mmoja atajitoa au hatoweza kuendelea, kampuni itachukua nafasi yake kwa muda ili kuhakikisha kuwa mzunguko hauathiriki.
- Hakuna Hasara kwa Washiriki - Washiriki wote waliobaki wataendelea kupokea malipo yao kama kawaida bila kuathirika.
- Mfumo wa Akiba - Kuna akiba ya dharura inayotumika kuhakikisha mzunguko wa malipo unaendelea hata katika hali zisizotarajiwa.
Uhakika Wa Malipo,
Kwa mfumo huu thabiti:
- Kila mshiriki anapokea malipo yake kwa wakati bila kuchelewa.
- Hakuna anayepoteza fedha zake, hata kama mshiriki mwingine atajitoa.
- Kampuni inasimamia kila hatua kuhakikisha uwazi na uaminifu.
- Kwa hivyo, unaweza kushiriki bila hofu na kufurahia faida za mshikamano wa kifedha!
Sifa Za Kushiriki
- Umri - Kuanzia miaka 18 na kuendelea.
- Usajili - Kila mshiriki lazima ajisajili rasmi kwenye tovuti yetu na kutuma maombi ya kujiunga na mchezo huu kabla ya kuanza.
- Uaminifu - Ni lazima kila mshiriki awe mwaminifu na aelewe umuhimu wa mchango wa kila siku.
Vigezo Na Masharti
-
Ushiriki
- (a) Mchezaji lazima ajisajili rasmi na kukubali vigezo na masharti haya kabla ya kushiriki.
- (b) Kila mshiriki atatakiwa kuchangia kiasi kilichopangwa cha TZS 5,000 ili kuendelea kwenye mchezo.
-
Kujitoa
- (c) Mshiriki anayeamua kujitoa kabla ya kukamilisha mzunguko wake atarudishiwa 50% ya kiasi alichochangia.
- (d) Hakuna marejesho ya zaidi ya nusu ya mchango wa awali kwa wanaojitoa njiani.
-
Muda wa Kutoa
- (e) Mshiriki anatakiwa kutoa mchango wake wa TZS 5,000 kwa wakati uliopangwa.
- (f) Kushindwa kutoa kwa muda muafaka kutasababisha faini ya 10% ya kiasi anachotakiwa kutoa.
-
Uwazi na Uadilifu
- (g) Washiriki wanapaswa kuwa waaminifu na kufuata utaratibu bila kufanya udanganyifu.
- (h) Mchezaji yeyote atakayebainika kufanya udanganyifu atafukuzwa kwenye mchezo bila kurejeshewa mchango wake.
-
Mawasiliano
- (i) Mshiriki anawajibika kuwasiliana na waandaaji wa mchezo huu kwa matatizo yoyote yanayoweza kujitokeza.
- (j) Kutozingatia mawasiliano kunaweza kuathiri haki ya mchezaji kwenye mchezo.
Idadi
Watu 90
Muda
Siku 90
Kiasi Cha Kutoa
Kila siku TZS 5,000
Ada Ya Kijumbe
Ni TZS 1,000 tu!
Kiasi Cha Kupokea
Utapokea TZS 450,000
Shuhuda Halisi Za Waliopokea Pesa Za Mchezo Na Kubadilisha Maisha Yao Kupitia Michezo Ya ShinePortal Microfinance!


