Kopa Hadi TZS 1,000,000 Taslimu

ShinePortal Microfinance tumekuletea mkopo wa uhakika, haraka na rahisi - ChapChap Loan kupitia simu yako ya mkononi.
Mkopo huuu ni maalumu kwa ajili ya kuwasaidia watu binafsi, wafanyakazi na wafanyabiashara wadogo wadogo nchi nzima.
Kiasi Cha Mkopo
- Kiwango cha chini cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 150,000 na
- Kiwango cha juu cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 1,000,000
- Kwa waombaji wote wanaorejesha mkopo wao kwa wakati, kuna fursa ya kuongezewa kiwango cha mkopo hadi kufikia TZS 3,000,000 katika maombi yao yanayofuata. Hii ni njia ya kutambua na kuthamini uaminifu na uwajibikaji wa mwombaji.
Faida Za Mkopo Wetu
- Mchakato wa haraka, rahisi, na wa uwazi.
- Hakuna dhamana ya mali inayohitajika kwani ajira yako ndiyo dhamana yako.
- Fedha zinapatikana ndani ya masaa 24 moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa, T-Pesa au benki.
- Uwezo wa kupata mikopo zaidi baada ya kulipa mkopo wa kwanza kwa wakati.
Sifa Za Mwombaji
- Uwe na umri wa miaka 18 au zaidi
- Uwe na kitambulisho au namba ya kitambulisho halali (NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, au Leseni ya Udereva)
- Uwe na namba ya simu au bank account inayotumika kupokea pesa
- Uwe na rekodi nzuri ya urejeshaji wa mikopo
Muda Wa Marejesho
- Mkopo unatakiwa kurejeshwa ndani ya siku 30 - 365 (mwezi 1 hadi miezi 12)
- Unaweza kurejesha kidogo kidogo kwa kiasi unachomudu ndani ya muda wa mkopo ambao ni miezi sita au ukalipa mkopo wote kwa mara moja siku yoyote kabla ya muda wa marejesho kuisha.
- Hii inamaanisha haujazwi presha ya kulipa kiasi kikubwa kwa wakati mmoja — unalipa kwa namna inayoendana na kipato chako.
- Lengo letu ni kuhakikisha unapata mkopo, unautumia vizuri, na unaurejesha kwa utulivu bila kukwamishwa na masharti magumu.
- Marejesho yanaweza kufanyika kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa, T-Pesa au benki.
Riba Na Gharama Za Mkopo
- Riba ya mkopo ni 10% ya kiasi kilichoazimwa na
- Gharama za mkopo - (administrative fee) ni TZS 4,000
Mwombaji anashauriwa kusoma masharti na sera zetu kamili kabla ya kuendelea na maombi yake.
Uhalali wa Mkopo
Malipo na Marejesho
○ Mkopo unapaswa kurejeshwa kwa muda uliopangwa bila kucheleweshwa.
○ Kukosa kulipa kwa wakati kutasababisha ongezeko la ada ya ucheleweshaji (late fee), pamoja na hatua nyingine za kisheria au kiutawala kulingana na taratibu za ShinePortal.
Administrative Fee
Akaunti ya Akiba
○ Kiasi na kiwango cha ushiriki katika savings kitatajwa rasmi na lazima kifuate masharti yaliyowekwa.
Marekebisho ya Vigezo
Uzingatiaji wa Kisheria
○ Kwa kuomba na kutumia mkopo huu, mkopaji anakubali kufuata sheria na kanuni zote za kifedha zinazotambulika katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Unaweza soma zaidi hapa: Terms & Conditions
Kwa kuwasilisha maombi ya mkopo kupitia ShinePortal, unakubali na kuidhinisha vigezo na masharti haya.
HONGERA
MTEJA WETU WA THAMANI
KIASI CHAKO CHA MKOPO KWA SASA NI
TZS 150,000
Riba Ya Mkopo
10%
Jumla Ya Kiasi Cha Marejesho
TZS 165,000
Muda Wa Marejesho
SIKU 90
Loan Management/Processing Fee
TZS 4,000
Kwa Kubonyeza Continue Na Kujaza Fomu Ya Maombi, Unathibitisha Kuwa Umekubaliana na Vigezo & Masharti ya mkopo huu