Mkopo Wa TZS 300,000
ShinePortal Microfinance inakuletea mkopo wa haraka na rahisi wa TZS 300,000 ili kukusaidia kufanikisha mahitaji yako ya kifedha.
Mkopo huu unapatikana mtandaoni na hauhitaji dhamana yeyote, ukiwalenga watu wote wanaotaka kujiendeleza kiuchumi.
Faida za Mkopo Wetu
- Mchakato wa haraka, rahisi, na wa uwazi.
- Hakuna dhamana inayohitajika.
- Fedha zinapatikana ndani ya masaa 24 moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa au Airtel Money
- Uwezo wa kupata mikopo zaidi baada ya kulipa mkopo wa kwanza kwa wakati.
Sifa za Mwombaji
- Uwe na umri wa miaka 18 au zaidi
- Uwe na kitambulisho halali (NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, au Leseni ya Udereva)
- Uwe na namba ya simu inayotumika
- Uwe mwanachama hai wa - ShinePortal Community Group
- Uwe na rekodi nzuri ya urejeshaji wa mikopo
Vigezo na Masharti
- Mkopo hutolewa kwa mtu binafsi si kwa vikundi
- Mkopo unapaswa kurejeshwa kwa muda uliopangwa bila kucheleweshwa
- Kukosa kulipa kwa wakati kunaweza kusababisha ongezeko la ada ya ucheleweshaji
Kiasi cha Mkopo
TZS 300,000
Riba
Riba ya mkopo ni 10% ya kiasi kilichoazimwa
Muda wa Marejesho
- Mkopo unatakiwa kurejeshwa ndani ya siku 90 (miezi mitatu)
- Malipo yanaweza kufanyika kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, au benki.