Nivushe Loan
KIWANGO CHA MKOPO
Kiasi cha chini cha mkopo unachoweza kukopa kwa sasa ni TZS 50,000 na kiasi cha juu cha mkopo unachoweza kukopa kwa sasa ni TZS 1,000,000
KIWANGO CHA RIBA
Kiwango cha riba ni 10% ya kiasi cha mkopo uliokopwa na gharama za mkopo yaani Loan Management/Processing Fees ni TZS 4,000
MUDA WA MAREJESHO
Mkopo huu unatakiwa kurejeshwa ndani ya siku 90 - miezi mitatu