Pata Mkopo Wa Nivushe - TZS 150,000 hadi TZS 900,000

ShinePortal Microfinance inakuletea mkopo wa haraka na rahisi wa Nivushe Loan kupitia simu yako ya mkononi ili kukusaidia kufanikisha mahitaji yako ya kifedha kama vile ada, kodi, matibabu, mtaji wa kukuza biashara nakadhalika.
Kiasi Cha Mkopo
- Kiwango cha mkopo unachoweza kukopa kwa sasa ni kunzia TZS 150,000 hadi TZS 900,000
- Kwa wateja wote wanaorejesha mkopo wao kwa wakati, kuna fursa ya kuongezewa kiwango cha mkopo katika maombi yao yanayofuata. Hii ni njia ya kutambua na kuthamini uaminifu na uwajibikaji wa mteja.
Faida Za Mkopo Wetu
- Mchakato wa haraka, rahisi, na wa uwazi.
- Hakuna dhamana ya mali inayohitajika.
- Fedha zinapatikana ndani ya masaa 24 moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa, T-Pesa au benki.
- Uwezo wa kupata mikopo zaidi baada ya kulipa mkopo wa kwanza kwa wakati.
Sifa Za Mwombaji
- Uwe na umri wa miaka 18 au zaidi
- Uwe na kitambulisho au namba ya kitambulisho halali (NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, au Leseni ya Udereva)
- Uwe na namba ya simu inayotumika kupokea pesa
- Uwe na rekodi nzuri ya urejeshaji wa mikopo
Vigezo Na Masharti
- Mkopo hutolewa kwa mtu binafsi si kwa vikundi
- Mkopo unapaswa kurejeshwa kwa muda uliopangwa bila kucheleweshwa
- Kukosa kulipa kwa wakati kunaweza kusababisha ongezeko la ada ya ucheleweshaji
- Kushiriki mchezo ambao utatumika kama dhamana kwa mwombaji
- Gharama za mkopo - Loan Management Fee hulipwa na mwombaji mwenyewe
Riba Na Gharama Za Mkopo
- Riba ya mkopo ni 10% ya kiasi kilichoazimwa na
- Gharama za mkopo - Loan Management Fees ni shilingi za kitanzania Elfu Nne - TZS 4,000 tu!
Muda Wa Marejesho
- Mkopo unatakiwa kurejeshwa ndani ya siku 180 (miezi sita)
- Unaweza kurejesha kidogo kidogo kwa kiasi unachomudu ndani ya muda wa mkopo ambao ni miezi sita au ukalipa mkopo wote kwa mara moja siku yoyote kabla ya muda wa marejesho kuisha.
- Hii inamaanisha haujazwi presha ya kulipa kiasi kikubwa kwa wakati mmoja — unalipa kwa namna inayoendana na kipato chako.
- Lengo letu ni kuhakikisha unapata mkopo, unautumia vizuri, na unaurejesha kwa utulivu bila kukwamishwa na masharti magumu.
- Marejesho yanaweza kufanyika kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa, T-Pesa au benki.
Dhamana Ya Mkopo
Tungependa kukufahamisha kuwa mkopo huu hautahitaji dhamana ya mali halisi kama nyumba, gari, au vifaa vingine vya thamani.
Badala yake, dhamana inayotumika ni ushiriki wa mwombaji katika mchezo wa kuinuana kiuchumi, ambao umetengenezwa kwa lengo la kujenga uaminifu na kushirikisha wateja katika mfumo wa kijamii unaochochea uwajibikaji.
Kupitia ushiriki wako katika mfumo huu:-
- Unathibitisha dhamira yako ya kurejesha mkopo kwa wakati
- Unajenga historia chanya ya kifedha ndani ya mfumo
- Unakuwa sehemu ya mtandao wa kusaidiana na kuinua wengine
Ushiriki huu ni sharti muhimu linalochukuliwa kama mbadala rasmi wa dhamana ya mali, na hivyo ni sehemu ya vigezo vya kupata mkopo.
Tunaamini katika kujenga mfumo unaompa nafasi kila kijana bila vikwazo vya mali.

Kutoka Dar - Es - Salaam
Ilikuwa ni furaha kubwa, kwa sababu sikuwa na matarajio kama haya. Mfumo huu si wa mkopo tu, ni mfumo wa kuinua maisha!

Baadaye, nilipopokea TZS 225,000 kutoka kwenye mchezo, nililia kwa furaha. Nilipata faida mara mbili – mkopo uliniinua, na mchezo ukanilipa. Kweli huu ni mfumo wa double double!
Sasa Ni Zamu Yako!
Umeona walivyofanikiwa kwa kuchukua hatua moja tu ya kuomba mkopo.
Wao waliamua — wakapata suluhisho, wakafanikisha ndoto zao.
Na wewe unaweza kufanya hivyo leo!
Usiache nafasi hii ipite. Omba mkopo sasa – anza kubadilisha maisha yako kama walivyofanya wao!