Fatma Alianza Bila Uzoefu, Sasa Anaingiza TZS 30,000+ Kila Siku!

Unataka Kujua Siri Ya Fatma Kutengeneza Faida Zaidi Ya TZS 30,000 Kila Siku?
Vipi unapenda kutumia Kahawa au Chai? Au ungependa ka-Pepsi baridii?
… Sawa, hebu agiza kwanza kisha tuketi vizuri, leo tunataka tukupe madini ambayo yatabadilisha maisha yako kama ilivyokua kwa Fatma!
Fikiria kila siku ukiamka, simu yako inakuletea ujumbe wa malipo mapya - bila hata kuondoka nyumbani!
Habari Fatma Saidi,
Imethibitishwa umepokea kiasi cha TZS 35,000 kutoka kwa ShinePortal Group (T) Limited. Salio lako la sasa ni TZS 120,000. Asante kwa kutumia huduma za ShinePortal.
Hii si ndoto bali ni uhalisia wa Fatma, ambaye aligundua fursa hii rahisi na halali ya kutengeneza kipato kupitia Project yetu ya hii mpya ya Affiliate Marketing hapa ShinePortal!
Fatma alianza kama wengi wetu - akitafuta njia ya kuongeza kipato bila kuhitaji mtaji mkubwa au ujuzi wa hali ya juu. Leo hii, analipwa zaidi TZS 30,000 kila siku kwa kuwaidoa watu kupata huduma za ShinePortal kwa urahisi na kuwashirikisha watu wengine fursa hii ya kipekee.
Unataka kujua siri yake?
Kaa tayari kusikia stori fupi ya safari yake ya mafanikio na jinsi unavyoweza kupiga hatua zake na kuweza kutengeneza kipato cha zaidi ya TZS 30,000+ kila iitwapo leo!
Uko tayari kubadili maisha yako?
Msikilize Fatma akisimulia safari yake na jinsi alivyobadilisha maisha yake kupitia fursa hii ya kipekee kutoka ShinePortal.
Fatma anaanza kwa kusema,
"... Sijui Ningekuwa Wapi Leo Hii
Kama Sio Hii Biashara... "
Hi,
My name is Fatma Saidi.
Nakumbuka kama jana vile, maisha yalikuwa ya tabu, unashinda unajipa matumaini lakini unajiuliza, ‘Hii hali itaisha lini?’
Nilikuwa nimeshajaribu kila kitu. Unajua kilimo cha matikiti? Kufuga kuku wa kisasa? Niliingia kwenye haya yote, lakini bado, maisha hayakupiga hatua ile niliyotarajia. Ilichosha, lakini nikakaza roho.
Leo, nataka nikupe siri moja kubwa: "Biashara hii imenitoa kwenye shimo la ugumu wa maisha, imenifanya niweze kumudu hata kuingiza faida ya Tsh. 30,000 na zaidi kila siku!"
Aacha nikupe mwanga, sio kwa majigambo, bali kwa sababu najua kuna mtu huko nje ambaye anapitia nilichokuwa napitia miaka michache iliyopita.
Tuanzie mwanzo kidogo...
Mimi ni binti ambaye, kama wengi wetu, niliamini kabisa kwamba elimu ya juu ndiyo njia pekee ya kutoka kwenye ugumu wa maisha.
Nilichagua EGM kwa A-Level kwa matumaini ya kuwa Mhasibu nikafanye kazi Bank - Ndo ilikuwa ndoto yangu. Nilikuwa nimesikia habari nyingi za ajira kubwa za Uhasibu, mshahara mkubwa, maisha bora, lakini ukweli ulikuwa tofauti. Ajira zilikuwa ngumu, na maisha yakazidi kunielemea.
Lakini kuna kitu kimoja nilijifunza mapema sana; lazima uwe na mpango wa pili... Waswahili nasema Plan B. Wakati nikisoma, niliamua kujifunza kilimo kwa sababu niliona kuwa huwezi kutegemea kitu kimoja tu. Kilimo kilinisaidia kiasi, lakini changamoto za mtaji zilikuwa kubwa—haikuwa rahisi. Na bado, hamu yangu ya kupata fursa iliwaka ndani yangu.
Nikiwa Nakaa Ghetto La 25,000 ...
Siku moja, mambo yalibadilika ghafla. Nakumbuka, ilikuwa usiku wa giza, umeme umekatika. Nikaamua kwenda kumtembelea jirani yangu ni dogo tu maana kwake taa zilikua zinawaka. Huyu dogo alikuwa na gari kali nje—BMW. Nikaingia sebuleni kwake, nikakutana na TV kubwa, maboksi makubwa ya mizigo. Nilishangaa sana, huyu dogo anapata wapi haya maisha kwa umri wake?
Baada ya mazungumzo mafupi, akanitonya kidogo kuhusu biashara yake. Alinambia,
"Ujue nini Sister Fatma, Leo hii, nataka nikuambie jambo moja ambalo lilibadilisha maisha yangu kabisa: biashara ya Affiliate Marketing. Biashara hii imenitoa kwenye ugumu wa maisha na sasa naweza kutengeneza TZS 130,000 hadi TZS 300,000 kwa siku, huku nikiwa na uhuru wa muda wangu!"
Safari Ilianza hapa...
Niliamua kujifunza na kujitoa kikamilifu, nilichukua muda wangu kujifunza, nikaanza hatua kwa hatua. Ilinichukua wiki 2 kuelewa, lakini mwanzoni mwa mwezi uliofuata mwaka huo huo, nikaanza biashara yangu rasmi. Hii ilikua mwaka 2024 mwezi wa 6 katikati ya mwaka!
Nilianza na faida ya Tsh. 7,000 kwa siku, haikuwa mbaya, lakini baada ya muda mfupi, niliweza kuona matokeo mazuri.
Kwani faida zikaongezeka mpaka kufikia wastani wa kuingiza faida ya zaidi ya Tsh. 30,000 kwa siku. Niliona mwanga mpya maishani mwangu!
TZS 3,000,000 - Milioni 3
kila mwezi
Fatma anamalizia kwa kusema,
Fatma Alibadilisha Maisha Yake - Sasa Ni Zamu Yako!
Unatafuta njia rahisi ya kuongeza kipato? Fatma alifanya hivyo kupitia Project yetu ya Affiliate Marketing na sasa anakula matunda ya juhudi zake!
Fatma alianza kama wewe na leo:-
- Anaingiza kipato cha zaidi ya TZS 30,000 kila siku na kamisheni kibao
- Ameongeza uhuru wa kifedha na kuboresha maisha yake.
- Anashirikiana na ShinePortal kuwasaidia wengine kufanikisha ndoto zao.
Na wewe unaweza kufanya hivyo!
Fikiria hili - simu yako unayotumia kila siku inaweza kuwa kifaa cha kukuingizia kipato kikubwa! Sio ndoto, ni kweli. Fatma aliamua kuchukua hatua, na mafanikio yakaanza mara moja!
Je, unataka kufanikiwa kama Fatma?
Usingoje tena! Jiunge na Project yetu hii ya ShinePortal Affiliate Program leo na uanze safari yako ya mafanikio.
Kwa wale wanaopenda kuanza safari hii na kufanikiwa kama Fatma, tumeandaa ShinePortal Affiliate Master Class maalum ya kukufundisha kila kitu
- Jinsi ya kutumia Invitation Code yako ipasavyo.
- Mbinu bora za kuwashawishi wateja kulipia huduma au kununua bidhaa.
- Njia za kufuatilia mauzo yako na kujua mapato yako.
- Matumizi ya mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, na WhatsApp kwa ufanisi.
Kwa kawaida, ada ya mafunzo haya huwa tunayatoa kwa $25 (zaidi ya Tsh. 60,000), lakini leo tunakupa ofa ya kipekee — kwa Tsh. 13,000 tu!
Unasikia hiyo? Tsh. 13,000 tu! Na hii ni ofa itadumu ndani ya masaa 48 kwa watu 20 pekee ili tuweze kuwafundisha na kuwasimamia vizuri.
Tukuambie kitu...
Hii si fursa ya kuiacha. Maisha yako yanaweza kubadilika kabisa kwa uamuzi wako wa leo.
OFA MAALUM: Ofa ndani ya OFA!
Tumetoa nafasi kwa watu 20 tu kufaidika na huduma zetu kwa bei ya punguzo ya TZS 13,000. Lakini OFA hii imebeba ofa nyingine ndani yake!
Watu 10 wa kwanza kati ya hao 20 watakaowahi, watalipia TZS 4,000 tu badala ya TZS 13,000! Hii ni fursa ya kipekee ya kuokoa zaidi ndani ya ofa.
Usikose—fursa hii itadumu ndani ya Saa 24 tu na nafasi ni chache sana. Wahi sasa kabla haijajaa!
Fatma mwenyewe aliwahisema,
"Nigekuwa wapi leo bila hii biashara? Nisingekuwa na amani wala uhakika wa maisha kama nilivyo sasa."
... Ningali napambana kwenye ghetto la kodi ya 25,000, lakini leo hii nina uhuru wa kujiamulia cha kufanya. Basi sasa, chukua hii hatua. Jiunge na hii master class, tuanze safari hii pamoja."
Najua utakuwa mmoja wa watu watakaosema...
"Nashukuru nilifanya uamuzi mzuri sana kujiunga na ile ShinePortal Affiliate Master Class ya madam Fatma."
Usikubali Kukosa Hii Fursa
Asingekuwa na maisha haya aliyo nayo leo kama asingefanya uamuzi wa kujaribu fursa hii. Sasa ana uhuru wa kifedha, na anaweza kukusaidia kufanikisha ndoto zako pia.
Jisajili Sasa Na Master Class Hii Kwa Kubofya
Kitufe Cha Subscribe Now Hapa Chini!
Kwa Nini Tumetoa Ofa Hii?
... Tunajua unajiuliza, “Mbona bei ni ya chini sana ukilinganisha na thamani ya mafunzo haya?”
Lengo letu ni kuwasaidia vijana wengi zaidi waweze kujiunga na kupata fursa za kazi, mikopo, na elimu ya biashara kupitia mfumo wetu. Tumetambua kuwa kuna wengi wana hamasa lakini uwezo wa kifedha ni mdogo.
Ndiyo maana tumeleta ofa ya TZS 13,000 badala ya bei ya kawaida, ya TZS 60,000+ ili iwe rahisi zaidi kwa watu kujiunga.
Lakini pia tumeongeza ofa nyingine ndani yake—kwa ajili ya kuwazawadia wale wanaowahi na kuonyesha nia ya kweli. Watu 10 wa kwanza kati ya 20 waliolengwa, watalipia TZS 4,000 tu. Hii ni kama motisha kwa wale walio tayari kuchukua hatua mapema.
Tunataka kuona vijana wakisogea mbele, na tunafanya kila tuwezalo kupunguza vikwazo vya kifedha. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuanza safari yako ya mafanikio kwa gharama ndogo sana.
USIPOTEZE HII NAFASI!
Hii si ofa ya kudumu. Ofa hii ni kwa watu 20 wa kwanza tu, na nafasi tayari zinaisha haraka!
Jisajili Sasa kwa TZS 4,000 tu na anza safari yako ya kuingiza kipato cha kila siku!