Tazama Jinsi Wanavyotengeneza Zaidi Ya TZS 43,000 Kila Siku



Gharama Ya Darasa
Kwa kawaida ada ya mafunzo haya huwa tunayatoa kwa TZS 35,000 lakini leo tunakupa kwa OFA ya kipekee --- TZS 10,000 tu!
Kwa Elfu Kumi tu, utapata maarifa, muongozo na nafasi ya kuanza kazi halali na yenye kipato ndani ya siku moja!
Unasikia hiyo? TZS 10,000 tu! Na hii ofa itadumu ndani ya SIKU 7 tokea sasa na ni kwa watu 10 pekee ili tuweze kuwafundisha na kuwasimamia vizuri.
Na baada ya darasa, utasajiliwa rasmi kama affiliate wa ShinePortal na kuanza kulipwa hadi TZS 12,500 kwa kila huduma utakayotoa.
Kwa Nini Tumetoa Ofa Hii?
Tunajua unajiuliza,
“Mbona bei ni ya chini sana ukilinganisha na thamani ya mafunzo haya?”
Lengo letu ni kuwasaidia vijana wengi zaidi waweze kujiunga na kupata fursa za kazi, mikopo na elimu ya biashara kupitia mfumo wetu. Tumetambua kuwa kuna wengi wana hamasa lakini uwezo wa kifedha ni mdogo.
Ndiyo maana tumeleta OFA ya TZS 10,000 badala ya bei ya kawaida ya TZS 35,00 ili iwe rahisi zaidi kwa watu kujiunga.
Lakini pia tumeongeza ofa nyingine ndani yake—kwa ajili ya kuwazawadia wale wanaowahi na kuonyesha nia ya kweli.
Watu 10 wa kwanza
kati ya 20 waliolengwa, watalipia TZS 5,000 tu. Hii ni kama motisha kwa wale walio tayari kuchukua hatua mapema.
Tunataka kuona vijana wakisogea mbele, na tunafanya kila tuwezalo kupunguza vikwazo vya kifedha. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuanza safari yako ya mafanikio kwa gharama ndogo sana.
Tukuambie kitu...
Hii si fursa ya kuiacha kwani nafasi ni chache sana – usikose!
Karibu Kwenye Darasa Maalum La Affiliate Program Ya ShinePortal
Hii ni fursa ya kipekee kwa vijana wajasiriamali wapya wanaotaka kufanya kazi na ShinePortal kama Affiliates – wakitengeneza kipato kupitia simu zao kwa kutoa huduma zetu zinazotafutwa sana!
Utakachojifunza Ndani Ya Farasa Hili
- Affiliate Program ya ShinePortal ni nini na inafanyaje kazi
- Jinsi ya kuingiza TZS 150,000 kwa siku kwa kushirikiana na ShinePortal
- Njia za kupromoti huduma zetu (ajira, mikopo, michezo na fursa) bila gharama ya matangazo
- Mbinu za kuvutia wateja wengi bila kuwa na huduma yako binafsi
- Hatua ya kuanza kazi rasmi na ShinePortal kama mshirika wa kibiashara (affiliate)
Darasa hili linaendeshwa kwa lugha nyepesi, linafaa kwa kila mtu – hata kama hujawahi kufanya biashara yoyote kabla!
Tunajenga ajira, kipato na maarifa kwa vijana wa Kitanzania.