Kiwango cha chini cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 150,000 na kiwango cha juu cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 1,000,000 kwa waombaji ... Read more
Nilipokea TZS 400,000 Ya Mchezo – Nikarudisha Saluni Yangu!
- By Admin
- 13 - June - 2025
Walijiunga Kwa Imani, Wakapokea Kwa Furaha Kupitia Mfumo Wetu Wa Akiba - Savings
Hizi Ni Baadhi Ya Shuhuda Halisi Za Wateja Wa Mfumo Wetu Wa Akiba (Savings) Waliopokea Pesa Zao Za Mchezo Pindi Zamu Zao Za Kupokea Zilipofika Na Kubadilisha Maisha Yao
Ada Ya Mtoto Na Kodi Nililipa Kwa Wakati

Hassani Malika,
Kutoka Iringa
Nilipokea TZS 675,000 kwenye zamu yangu ya nne.
Nililipa kodi ya miezi miwili, nikalipa ada ya shule ya mtoto na nikabaki na akiba kidogo ya dharura.
Mchezo huu ni suluhisho la changamoto za kifedha kwa watu wenye malengo.
Ushauri wangu,
Ningependa ada ya kijumbe ipunguzwe hata kwa kiasi kidogo kutokana na makato ya mitandao ya simu ni makubwa ili watu wengi zaidi waweze kujiunga bila kusita.
Mzunguko wa mchezo huu ulinitoa kwenye hali ngumu ya kifedha – usikose nafasi hii muhimu.
Nilipokea TZS 450,000 – Saluni Yangu Ikarudi Kwenye Ramani!

Amina Mohamed,
Kutoka Arusha.
Nilishiriki mchezo wa kuinuana kiuchumi kupitia ShinePortal Microfinance kwa mara ya kwanza nikiwa na wasiwasi, lakini nilijipa moyo.
Nilipofikia zamu yangu, nilipokea TZS 450,000 bila usumbufu wowote.
Nilinunua vifaa vya saluni yangu ambavyo nilikuwa nimevisitisha kwa muda mrefu. Mchezo huu umenisaidia sana kuinua biashara yangu.
Ushauri wangu,
Naomba kwenye mchezo ujao niwekwe wa mwisho, ili nipate muda zaidi wa kupanga matumizi ya pesa yangu.
Mchezo wa kuinuana kiuchumi ulinisaidia kurejesha biashara yangu – na wewe unaweza kufanya zaidi!
Kiwanja Nilikipata Kwa Ushirikiano Wa Wenzangu – TZS 900,000 Za Mchezo Zilitua Kwenye Simu Yangu!

Juma Kallaghe,
Kutoka Tanga
Nilipewa taarifa za mchezo huu kupitia status ya WhatsApp. Nilijiunga na kuwekwa kundi la pili.
Nilipokea TZS 900,000 kwenye zamu yangu na pesa hizo zilinisaidia kulipia hati ya kiwanja changu.
Nilishukuru sana kwa uwazi uliokuwepo na maelekezo yalikuwa rahisi kufuata.
Ushauri wangu,
Ningeshauri tuongeze lipa namba kwenye njia za malipo ili kurahisisha michango na kupunguza usumbufu kwa wanaojiunga kwa mara ya kwanza.
Kwa mchezo huu wa kuinuana kiuchumi, ndoto za wengi zinatimia – na sasa ni zamu yako.
Hatua Za Kujiunga Na Kucheza Mchezo Ni Rahisi Sana
Usisome Tu – Fanya Kama Wao, Anza Sasa! Wao waliamua kujiunga, wakavumilia kusubiri kwa uaminifu, na wakalipwa kwa wakati.
Leo wanatabasamu kwa sababu ya ujasiri wao wa kuchukua hatua. Na wewe unaweza kuwa ushuhuda mwingine wa mafanikio haya!
Jiunge na michezo yetu ya kuinuana kiuchumi kwa kutuma maombi yako leo – jenga matumaini, jenga ndoto zako, jenga maisha bora.
Usikawie tena... hatua yako ya leo ndiyo furaha yako ya kesho!
Ikiwa unahitaji kujiunga na mfumo huu wa kuweka akiba (savings) kwa mfumo wa kisasa wa mchezo wa kuinuana kiuchumi basi bonyeza neno “savings” hapa chini ili uwe miongoni mwa watu watakaopokea wiki ijayo!
SAVINGS
Ikiwa unahitaji kujiunga na mfumo huu wa kuweka akiba (savings) kwa mfumo wa kisasa wa mchezo wa kuinuana kiuchumi basi bonyeza neno “savings” hapa chini ili uwe miongoni mwa watu watakaopokea wiki ijayo!
SAVINGS