Kiwango cha chini cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 150,000 na kiwango cha juu cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 1,000,000 kwa waombaji ... Read more
Una Wazo Ila Huna Mtaji? Tunawekeza 2M Kwenye Wazo Lako!
- By Admin
- 21 - September - 2025
Hi,
Naitwa Asha, msichana mwenye miaka 24 kutoka familia ya kawaida kabisa.
Nilipomaliza sekondari sikuweza kuendelea na masomo kwa sababu ya changamoto za kifedha. Nilikuwa na ndoto kubwa ya kuwa mfanyabiashara, nilipenda sana kuuza vitu vidogo vidogo kama mboga na mitumba mitaani. Wazo langu lilikuwa ni kufungua kibanda cha kudumu cha kuuza nguo za mitumba kwa bei nafuu ili kusaidia vijana wenzangu kuvaa vizuri bila kutumia hela nyingi.
Lakini changamoto kubwa ilikuwa mtaji. Kila mara nilipojaribu kuanza, ilinibidi nianze na kidogo sana, na faida ilikuwa haitoshi hata kulisha familia. Mara nyingi nilihisi ndoto yangu haiwezi kutimia kwa sababu nilitoka kwenye familia maskini na sikuwa na mtu wa kunisaidia.
Siku moja, niliambiwa kuhusu ShinePortal Startup Fund. Mwanzoni nilidhani labda ni kama mashindano mengine tu yanayopoteza muda, lakini moyoni nikasema acha nijaribu. Nilijaza fomu ya ushiriki kwa gharama ndogo tu ya TZS 1,000, nikashiriki na kuwasilisha wazo langu. Nilishangaa kuona kwamba waliangalia sio tu kipaji cha kuandika, bali pia ubunifu na nia ya kweli ya kubadilisha maisha.
Baada ya hatua kadhaa za mchujo, nilichaguliwa miongoni mwa washindi na nikapewa mtaji wa TZS 2,000,000. Nilishindwa kuamini macho yangu! Hiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kushika kiasi hicho cha pesa kama mtaji wa biashara.
Ndiyo ulikuwa mwanzo wa safari mpya: niliweza kufungua kibanda cha kudumu sokoni, kununua mzigo wa nguo, na hata kuweka akiba kidogo kwa ajili ya kuongeza bidhaa. Leo hii, biashara yangu inaniingizia kipato cha kutosha kulipia kodi, kusaidia wazazi wangu nyumbani, na pia kujiwekea ndoto nyingine kubwa zaidi – kufungua duka la nguo.
Zaidi ya fedha, ShinePortal Startup Fund walinipa mafunzo ya ujasiriamali; walinifundisha jinsi ya kupanga mapato, kutunza hesabu na kushirikiana na wateja. Sasa najiamini kama mjasiriamali na najua hii ni mwanzo wa safari ndefu ya mafanikio.
Kusema kweli, kama siyo ShinePortal Startup Fund,ndoto yangu ingekuwa bado imekwama kichwani.
Naamini kila kijana mwenye wazo zuri ana nafasi ya kufanikisha maisha, haijalishi umetoka familia ya hali gani. Ndugu zangu vijana, usikate tamaa – jaribu kushiriki, kwa sababu wakati mwingine kitu kidogo kama fomu ya TZS 1,000 kinaweza kuwa daraja la kubadilisha maisha yako.
Ushauri wangu kwa vijana,
Kama na wewe una changamoto nilizopitia mimi ndizo unazopitia pia – una wazo la biashara lakini mtaji umekuwa kikwazo – basi huu ndio wakati wako wa kuchukua hatua. Usisubiri tena, nafasi ni sasa.
Bofya neno "Mtaji" hapa chini ili kuanza safari yako ya mafanikio kupitia ShinePortal Startup Fund.