Kiwango cha chini cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 150,000 na kiwango cha juu cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 1,000,000 kwa waombaji ... Read more
Ailianza Na Mkopo Wa TZS 470,000 – Leo Anamiliki Biashara!
- By Admin
- 13 - June - 2025

- ○ Mkopo: TZS 800,000 (alitumia kuanzisha biashara ya nguo za mitumba)
- ○ Savings: TZS 600,000 (alipokea baada ya mkopo, akaisomesha kozi fupi ya uhasibu)
Baada ya kulipa mkopo, pesa yangu ya mchezo niliyopewa tena niliitumia kulipia kozi fupi ya uhasibu ili nijifunze kudhibiti fedha.
Mfumo huu wa savings kwa njia ya mchezo ulinifundisha nidhamu ya kuweka akiba na sasa najua ndoto zangu zina msingi imara.
Rehema Ng'wanishi,

Kutoka Kukata Tamaa Hadi Kufungua Duka Jipya – Safari ya Juma na ShinePortal
- ○ Mkopo: TZS 500,000 (alitumika kuongeza stock ya vifaa vya simu)
- ○ Savings: TZS 950,000 (alipokea baada ya kulipa mkopo, akaanzisha duka dogo jipya)
Nilianza kuuza vocha na chaja sokoni, lakini changamoto yangu kubwa ilikuwa mtaji – nilikuwa siwezi kununua bidhaa kwa wingi. Kila taasisi ya kifedha niliyomwendea waliniuliza dhamana ya mali kama nyumba au gari, kitu ambacho sikuwa nacho.
Rafiki yangu alinieleza kuhusu ShinePortal. Niliposikia kuwa sina haja ya dhamana kubwa, ila savings kwenye mfumo wao wa mchezo ndiyo ingekuwa dhamana, nilivutiwa mara moja. Nilijiunga, nikaweka akiba yangu, na baada ya muda mfupi nikapata mkopo.
Mkopo niliopata niliutumia kuongeza stock ya vifaa vya simu, biashara ikakua na faida ikaongezeka.
Nilipomaliza mkopo, pesa ya mchezo (savings) niliyopewa tena niliitumia kufungua duka dogo jipya karibu na kituo cha daladala. Leo hii natabasamu nikikumbuka nilivyokuwa nimekata tamaa.
Juma Kunambi,
Kutoka Dodoma.

Mama Muuza Mboga, Sasa Anamiliki Jokofu na Faida Kubwa
- ○ Mkopo: TZS 470,000 (alitumia kununua mboga kwa wingi sokoni)
- ○ Savings: TZS 780,000 (alipokea baada ya kulipa mkopo, akanunua jokofu dogo kwa ajili ya biashara)
Mimi ni mama wa watoto wawili na nilikuwa nauza mboga sokoni. Tatizo langu kubwa ni kwamba sikuwa na mtaji wa kutosha kununua mboga kwa wingi, hivyo faida yangu ilikuwa ndogo sana. Taasisi nyingi za mikopo ziliwahi kuniambia nahitaji dhamana ya nyumba au gari – vitu ambavyo sina.
Nilipomaliza mkopo, pesa yangu ya mchezo niliyopewa tena niliitumia kununua jokofu dogo nyumbani kwangu ili kuhifadhia mboga zinazobaki zisiharibike.
Huu mfumo huu wa savings kwa njia ya mchezo ulinifundisha umuhimu wa akiba na kuniwezesha kukuza biashara yangu kwa njia ambayo sikuamini.
Bi. Aisha Simba
Kutoka Dar Es Salaam
Na Sasa Ni Zamu Yako!
Wao waliamua — wakapata suluhisho, wakafanikisha ndoto zao.
Na wewe unaweza kufanya hivyo leo!
Usiache nafasi hii ipite. Omba mkopo sasa – anza kubadilisha maisha yako kama walivyofanya wao!
Ikiwa na wewe unahitaji mkopo huu wa ChapChap Loan basi bonyeza neno “ChapChap Loan” hapa chini ili uwe miongoni mwa watu watakaopokea mkopo leo!